1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SADC kupeleka vikosi DRC

Amina Abubakar8 Mei 2023

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi Kusini mwa Afrika, SADC zimekubaliana kupeleka vikosi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika juhudi za kusaidia kumaliza machafuko katika eneo hilo. Ili kufahamu jinsi uamuzi huo ulivyopokelewa na viongozi na raia wa Kongo, Amina Abubakar amezungumza na Ali Mali, mchambuzi wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, akiwa nchini Ufaransa.

https://p.dw.com/p/4R3kr