1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sababu za kuanguka kiwango cha elimu Zanzibar

Salma Said2 Januari 2019

Makala yetu leo inakutana na wadau kadhaa wa elimu Zanzibar, kutaka kujua chanzo cha kuporomoka elimu visiwani humo hasa katika shule za serikali, ikilinganishwa na miaka ya zamani. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Salma Said.

https://p.dw.com/p/3Auka