1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda: Ushindi wa kishindo wa Kagame sio wa kushangaza

SAUMU YUSUF16 Julai 2024

Ushindi wa kishindo wa Rais Kagame umezungumzwa kwa mitazamo mbali mbali na wanaofuatilia siasa za Rwanda. Ally Yusuf Mugenzi ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka London, Uingereza na anasema hajashangazwa na matokeo aliyoyapata Kagame. Alizungumza na Saumu Mwasimba wa DW.

https://p.dw.com/p/4iNrp