1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoCroatia

Robo Fainali ya Kombe la Dunia: Nani atasonga mbele?

Sylvia Mwehozi
8 Desemba 2022

Mechi za kwanza za robo fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar zinatifua vumbi kuanzia Ijumaa. Timu ya taifa ya Croatia itateremka uwanjani dhidi ya mabingwa mara tano wa Kombe hilo Brazil, kisha Uholanzi itacheza na Argentina. Josephat Charo ametoa tathmini ya mechi za kwanza za robo fainali.

https://p.dw.com/p/4Kfy5