1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Refarii aliyekiri kufanya makosa Bundesliga apokea vitisho

1 Mei 2023

Muamuzi wa kati Sascha Stegemann aliyekiri kufanya makosa kwa kutoipa penalti Borussia Dortmund yuko chini ya ulinzi wa polisi baada ya kupokea vitisho. Shirikisho la soka Ujerumani limekiri kwamba Stegemann alipaswa kutoa penalti bila ya kuhitaji msaada wa teknolojia ya Video VAR. Sikiliza yaliyojiri viwanjani na Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/4Ql1A