1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nchi za Afrika zaungana na dunia kutetea mazingira

20 Septemba 2019

Afrika wiki hii inamulikia matukio ya wiki nzima barani humo na yaliyomo wiki hii ni pamoja na kufariki kwa rais wa zamani wa Tunisia na mchakamchaka wa kisiasa ndani ya Tunisia kwenyewe. Nchi mbali mbali Afrika zashiriki maandamano ya kupinga mabadiliko ya tabia nchi kuelekea mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa. Na nchini DRC kamanda wa FDLR auwawa Kivu Kaskazini. Ungana na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3Pxi4