Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ziarani Kinshasa
31 Julai 2007
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka yuko mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemorkasi ya Kongo kwa ziara ya siku tatu.
https://p.dw.com/p/CHAI
Matangazo
Ziara yake ni ya uzinduzi wa ofisi ya kanda ya benki hiyo na vile vile kutathmini msaada wa benki ya ADB kwa nchi hiyio kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili kutoka Kinshasa.