1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Uhuru Kenyatta amlaki Rais Samia Suluhu jijini Nairobi

4 Mei 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awasili Kenya na kulakiwa na mwenyeji wake Rais uhuru Kenyatta.

https://p.dw.com/p/3swD1
Kenia Nairobi | Besuch Samia Suluhu Hassan, Präsidentin Tansania
Picha: Simon Maina/AFP/Getty Images

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Kenya leo kwa ziara ya siku mbili inayonuwia kuimarisha ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili ya kanda ya Afrika Mashariki.

Ziara ya rais Samia inafanyika wakati uhusiano kati ya Tanzania na Kenya umeshuhudia mivutano ya hapa na pale katika miaka michache husasani kwenye sekta ya biashara.

Rashid Chilumba amezunguza na mwandishi wetu wa mjini Nairobi Shisia Wasilwa na kwanza ametaka kujua ni mambo gani Rais Samia amepangiwa kufanya akiwa nchini Kenya?

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kenya