1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto aishambulia mahakama kwa kuzuia mipango ya serikali

Shisia wasilwa (HON)3 Januari 2024

Rais William Ruto wa Kenya ameendeleza mashambulizi dhidi ya idara ya mahakama kuhusiana na kile alichokiita ufisadi kwenye asasi hiyo. Ruto amedai kuwa baadhi ya maafisa wa mahakama wanazuia utekelezaji wa baadhi ya miradi yake. Hii ni baada ya mahakama kusitisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba na huduma za afya za kimsingi kutokana na dosari.

https://p.dw.com/p/4apC2