1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Outtara atangaza kutogombea urais uchaguzi ujao

6 Machi 2020

Rais wa Ivory Coast Alassane Outtara atangaza kutogombea urais mwezi October,Nchini Uganda Jenerali wa kijeshi atangaza nia ya kugombea urais dhidi ya rais Yoweri Museveni na huko Tanzania rais wa nchi hiyo kwa mara ya kwanza akutana na wapinzani. Kwa hayo na mengine mengi tegea sikio makala ya Afrika Wiki hii iliyoandaliwa na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3Yycb
Elfenbeinküste Wahl 2018 | Alassane Dramane Ouattara
Picha: Reuters/L. Gnago