1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais mstaafu Kikwete azungumzia mzozo wa Libya

Sudi Mnette25 Februari 2020

Kwenye makala ya Kinagaubaga hii leo, utamsikia rais wa awamu ya nne nchini Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenzetu Sudi Mnette kuhusiana na mzozo unaoendelea kufukuta nchini Libya. Nini amekizungumza na ni kwa namna gani anauona mzozo huo pamoja na juhudi zinazochukuliwa kuumaliza? Sikiliza hapa.

https://p.dw.com/p/3YNru