1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Kenya William Ruto aadhimisha miaka miwili madarakani

13 Septemba 2024

William Ruto alichukua uongozi wa Kenya akiwa na matumaini makubwa. Lakini karibu miaka miwili ya utawala alijikuta katika maandamano mabaya zaidi katika historia ya nchi hiyo. Je, mambo yanaweza kuwa magumu zaidi huku utawala wake ukiangalia kufadhili nakisi ya bajeti kwa kuongeza mikopo ?

https://p.dw.com/p/4kbsi