1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila kutohudhuri mdahalo kuna matokeo gani kisiasa?

Daniel Gakuba25 Julai 2022

Baada ya mgombea urais nchini Kenya Raila Odinga kusema hatahudhuria mdahalo uliopangwa kufanyika wiki hii, wachambuzi wanasema mdahalo hauwezi kuchangia pakubwa kwa wagombea kuvuna kura kutoka kwa wapiga kura. Daniel Gakuba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa Martin Oloo, kwanza alitaka kujua Raila kutohudhu mdahalo kuna matokeo gani kisiasa?

https://p.dw.com/p/4EcHV