1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Qatar 2022 Nani zaidi? Ufaransa au Argentina?

17 Desemba 2022

Ufaransa watakwaana kesho na Argentina katika fainali ya kombe la dunia la kandanda Qatar 2022. Ufaransa imetinga fainali kwa mara ya nne wakifanikiwa kufanya hivyo 1998 nyumbani na wakatwaa kombe, 2006 Ujerumani wakashindwa na Italia. 2018 nchini Urusi wakatwaa kombe na mwaka huu Qatar 2022.

https://p.dw.com/p/4L6Ea