SiasaPutin na Scholz wazungumza tena kuhusu UkraineTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa18.03.202218 Machi 2022Katika mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, Rais wa Urusi Vladimir Putin leo amelalamikia mashambulizi yanayofanywa na Ukraine mashariki mwa nchi hiyo. #Kurunzi https://p.dw.com/p/48hjlMatangazo