1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Putin apandisha umri wa Warusi kustaafu

Daniel Gakuba11 Julai 2018

Wakati raia wa Urusi wakiungana na ulimwengu mzima kufuatilia Kombe la Dunia 2018 linaloendelea nchini mwao, serikali iliitumia fursa hiyo kutangaza mageuzi katika sera ya pensheni, ambapo umri wa kustaafu umeongezwa kwa miaka minane upande wa wanawake, na miaka mitano kwa wanaume. Ni mageuzi ambayo yaliwachukiza wafanyakazi, wakiamini kwamba wengi wao watakufa bila kufaidi akiba waliyojiwekea.

https://p.dw.com/p/31H6j