1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi yalaumiwa kutowachukulia hatua 'masoksi' wa Zanzibar

Caro Robi2 Oktoba 2015

Huku tarehe 25 Oktoba ikikaribia, hali ya usalama visiwani Zanzibar inazua wasiwasi ambapo katika tukio la hivi karibuni kabisa kundi la watu wasiojulikana liliwashambulia vijana katika maeneo ya Mbuyu Mnene, kisiwani Unguja. Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Zanzibar, Salim Said Salim, juu ya kuzorota huku kwa hali ya usalama.

https://p.dw.com/p/1Ghu9