Je, umekuwa na maswali unayojiuliza kuhusu muda mfupi wa kutengenezwa chanjo, ni nani anayefaa kupata chanjo pamoja na madhara ya chanjo hiyo? Daktari Maryam Amour, mhadhiri wa Chuo Kikuu MUHAS-jijini Dar es Salam amefafanua uvumi unaonea Tanzania kuhusu chanjo ya Covid-19.