1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pata kujua yaliyogonga vichwa vya habari huko Afrika wiki hii.

Amina Mjahid20 Januari 2023

Kama ilivyo kawaida makala ya Afrika Wiki Hii, Amina Abubakar amekuandalia mengi yaliyogonga vichwa vya habari kote barani humo, kuanzia kugundulika kwa makaburi ya pamoja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hadi njama za kumuua aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, Wafula Chebukati. Ungana naye kusikia kwa kina.

https://p.dw.com/p/4MUpT