1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS:Waziri mkuu wa Ufaransa ateua baraza lake la mawaziri.

3 Juni 2005
https://p.dw.com/p/CF7V

Waziri mkuu mpya wa Ufaransa Dominique de Villepin ametangaza baraza lake la mawaziri.

Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje bwana Michel Barnier ameondolewa katika wadhifa huo ambao sas utashikiliwa na bwaba Phillippe Douste- Blazy.

Mabadiliko hayo katika baraza la mawaziri yamefuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu wa hapo awali bwana Jean Pierre Raffarin kutokana na wananchi wa Ufaransa kuikataa katiba mpya ya ulaya katika kura ya maoni.