1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS:Mgomo mkubwa waendelea nchini Ufaransa

4 Oktoba 2005
https://p.dw.com/p/CEV2

Mgomo mkubwa unaendelea nchini Ufaransa ambapo huduma za usafiri zimeathirika kwa kiwango kikubwa.

Jumuiya za wafanyakazi zimeitisha mgogo huo ili kupinga sera za uchumi.

Katika miji kadhaa usafiri wa mabasi umekosekana.