1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pamoja na vitisho, lakini madaktari hawa wameamua kujitoa

11 Novemba 2019

Kwa jamii za pwani ya kaskazini ya Kenya, huduma za matibabu ni kama vile hazipo. Timu ya madaktari inayiojiita "Safari Doctors" ikaamua kuibeba changamoto hiyo wakipambana na hali mbaya ya bahari na ugaidi wakiwa njiani.

https://p.dw.com/p/3Spwc