1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga awasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Ruto

22 Agosti 2022

Upande wa Raila Odinga, mwanasiasa wa upinzani aliyeshindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita, umewasilisha ombi katika mahakama ya juu zaidi nchini humo la kupinga matokeo ya uchaguzi huo wa Agosti 9, 2022. Na kama ambavyo mwandishi wetu Thelma Mwadzaya anavyoripoti kwenye #Kurunzi naibu jaji mkuu Philomena Mwilu amesema wamejiandaa kuishughulikia kesi hiyo.

https://p.dw.com/p/4FshO