1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Obama aitembelea familia yake Kenya

16 Julai 2018

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama ambae jana aliwasili Kenya leo anatembelea kijiji alichozaliwa baba yake, Kogelo. Baadae leo rais huyo mstaafu atakwenda Afrika Kusini ambako anatarajiwwa kuhutubia katika siku ya Nelson Mandela. Sudi Mnette alizungumza na mwandishi habari Musa Naviye akiwa mjini Kisumu na kwanza alitaka kujua namna kiongozi huyo alivyopokelewa.

https://p.dw.com/p/31XS5