1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini maana ya 'Fair Play' katika kandanda?

Lilian Charles Mtono29 Juni 2018

Baada ya Senegal kubanduliwa nje ya Kombe la Dunia kwa mujibu wa sheria ya 'Fair Play' kumekuwa na gumzo tele miongoni mwa mashabiki wa kandanda kuhusu sheria hii. Je wewe unaifahamu? Jacob Safari anafafanua katika mahojiano yake na Lillian Mtono

https://p.dw.com/p/30XTq