1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nigeria na teknolojia ya simulizi za hadithi kwa kidijitali

Sylvia Mwehozi31 Januari 2023

Kama ilivyo kawaida msikilizaji hapa unasikia hatua zinazopigwa kila uchwao katika sekta ya sayansi na teknolojia. Na hii leo tutakupelaka hadi huko nchini Nigeria ambako kumeanzishwa Programu ya kusimulia watoto hadithi za kiafrika kupitia njia ya dijitali, lakini pia utasikia juu ya programu mpya ya ChatGBT iliyoundwa ili kuigiza mazungumzo ya binaadamu. Sikiliza Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/4Mud0