1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Niger yawafukuza Wanyarwanda 8 wanaohusishwa na mauaji ya kimbari

30 Desemba 2021

Niger imeamuru kufukuzwa kwa Wanyarwanda wanane wanaohusishwa na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, mwezi mmoja tu baada ya kukaribishwa katika mji mkuu Niamey.

https://p.dw.com/p/44zNt

Hatua hiyo imechukuliwa baada Niger kutia saini mkataba na Umoja wa Mataifa kuwapa hifadhi. Saumu Njama amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa za Maziwa Makuu, Ali Mali na amemuuliza kwa nini Niger imebadili msimamo wake wa kukubali kuwapa hifadhi watu hao?