1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni sawa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wa rafiki?

20 Julai 2022

Kijana je ni sawa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ex ama mpenzi wa zamani wa rafiki yako? Hii ndiyo mada anayoivalia njuga leo Amina Abubakar katika kipindi cha Vijana Mchakamchaka. Hebu wasikilize vijana wanasemaje.

https://p.dw.com/p/4EPNV