1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK: Annan aunga mkono mazungumzo

28 Juni 2005
https://p.dw.com/p/CEzO

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa bwana Kofi Annan amekaribisha hatua ya utawala wa Marekani ya kufanya mazungumzo na wapinzani nchini Irak.

Bwana Annan amesema anaamini kwamba hatua hiyo ni sahihi

Hapo awali waziri wa ulinzi wa Marekani bwana Donald Rumsfeld alithibitisha kwamba wajumbe wa serikali ya Marekani walifanya mazungumzo kadhaa na wawakilishi wa wapinzani.

.