1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto za Olimpiki kwa wanariadha wa Uganda

6 Julai 2015

Uganda kwa muda mrefu haijapata mafanikio katika mbio fupi, hali iliyomfanya mwanariadha wa zamani Moses Asonya kuanzisha chuo cha mafunzo ya riadha cha Entebbe.

https://p.dw.com/p/1Ftdm

Uganda kwa muda mrefu haijapata mafanikio katika mbio fupi, hali iliyomfanya mwanariadha wa zamani Moses Asonya kuanzisha chuo cha mafunzo ya riadha cha Entebbe ili kuwapa mafunzo wanariadha chipukizi kwa lengo la kushinda medali katika mashindano ya kimataifa.