1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndayishimiye awaonya maafisa wazembe

Amida Issa18 Novemba 2021

Kongamano la kimataifa la kuangazia njia za kuifanya Burundi kuwa nchi inayoinukia ifikapo mwaka 2040 linafanyika Bujumbura. Akizinduwa kongamano hilo Rais Evariste Ndayishimiye amesema hakuna sababu ya Burundi kusalia kuwa masikini huku akikosoa mwenendo wa baadhi ya maafisa wa serikali wa kutowajibika katika majukumu yao. Amida Issa alituandalia ripoti hii kutoka Bujumbura.

https://p.dw.com/p/43BrR