1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa uchaguzi watishia ombwe la uongozi Somalia

12 Februari 2021

Sikiliza yale yaliyojiri wiki nzima barani Afrika kwenye makala ya Afrika Wiki Hii. Miongoni mwake ni mzozo wa kiuchaguzi nchini Somalia unaotishia ombwe la kiuongozi na mvutano mkali wa kisiasa nchini humo baada ya rais aliyeko madarakani kukataa kuondoka, baada ya muhula wake kumalizika.

https://p.dw.com/p/3pHr6