1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa sasa wa Serbia na Kosovo unatokana na nini?

Daniel Gakuba
24 Agosti 2022

Serbia na Kosovo zina mzozo unaotokana na mvutano juu ya taratibu za usafiri na usajili wa magari. Juhudi za Umoja wa Ulaya kusuluhisha mgogoro huo hadi sasa zimeambulia patupu. Serbia inatishia ikiwa umoja wa kujihami wa NATO utashindwa kuwalinda Waserb waishio Kosovo, itachukua jukumu hilo. Kuna hofu Urusi, mshirika wa jadi wa Serbia inachochea chokochoko hizo. Msikilize Dabiel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4FyXk