1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke mhamasishaji wa teknolojia Kenya

16 Oktoba 2019

Juliana Rotich amewakuza wabunifu chipukizi ambao wameiweka Kenya katika ramani kama waanzlishi wa teknolojia barani Afrika. Amesaidia kutengeneza majukwaa yanayotoa masuluhisho kama vile tovuti ya Ushahidi inayofuatilia majanga, kutoa misaada na zaidi ya hayo, huleta teknolojia karibu kwa watu ambao wasingeweza kuipata. Kutokana na juhudi zake Juiana amewahi kushinda tuzo ya Ujerumani kwa Afrika.

https://p.dw.com/p/3RNVh