JamiiMuziki watumika kudai haki za kiraiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi03.03.20203 Machi 2020Watu wengi hufikiria muziki wa kufoka foka unaimbwa na wahuni. Gradys Madigolo ni msanii wa muziki wa kufoka kutoka Kenya yeye anataka kubadili fikra hizo. Anaamini muziki wake unawawezesha wanawake. #VijanaMubashara #77 asilimia.https://p.dw.com/p/3YmirMatangazo