1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni amuonya mwanawe juu ya machapisho ya Twitter

Lubega Emmanuel26 Aprili 2022

Marais Paul Kagame wa Rwanda na Yoweri Museveni wa Uganda wamemshauri Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuchukua tahadhari katika matumizi yake ya mtandao wa Twitter. Sikiliza ripoti hii ya mwandishi wetu wa Kampala Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/4ASvY