1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni akutana na upinzani

Lubega Emmanuel (HON)5 Machi 2021

Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi nchini Uganda, Rais Yoweri Museveni amekutana na baadhi ya viongozi wa upinzani na kukubaliana nao kuhusu uwezekano wa kuendelea na mashauriano ya kuondoa uhasama kati yao. Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani hawakuhudhuria. Kulikoni? Sikiliza ripoti hii ya Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/3qGwD