1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muhanga wa ubakaji wa India 'atahuika'

Dahman, Mohamed Karama3 Januari 2013

Licha ya msichana wa miaka 23 aliyebakwa na wanaume sita kuwa sasa ameshafariki dunia, ukweli mmoja utabakia kuwa wazi, nao ni kwamba mwanafunzi huyo wa utabibu amekuwa alama ya mapambano ya kupigania haki na heshima.

https://p.dw.com/p/17Cw9

Mohammed Dahman anaangalia namna kifo cha msichana aliyebakwa India kinavyoweza kuwa sehemu ya mapambano kwa ajili ya haki na heshima ya mwanamke.