1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira: Ongezeko la kina cha maji Ziwa Tanganyika

Prosper Kwigize MMT28 Mei 2021

Makala ya Mtu na Mazingira inamulika athari za kuongezeka kwa kina cha maji cha Ziwa Tanganyika moja ya maziwa makubwa kabisa duniani. Prosper Kwigize alisafiri kwenda kaskazini magharibi mwa Tanzania.

https://p.dw.com/p/3u77x