1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Mtindo wa vijana kufuga wanyama wa nyumbani

18 Oktoba 2022

Umeshawahi kufikiria kumiliki wanyama wa kufugwa nyumbani kama vile mbwa, paka au hata samaki, yaani Pets kwa lugha ya Kiingereza? Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mwenendo wa watu na hasa vijana katika maeneo ya mijini kuwa na mbwa au paka ambao wanawafuga kwenye nyumba zao. Ndiyo mada ya Vijana Mchaka Mchaka leo hii inayoangaziwa na Grace Kabogo.

https://p.dw.com/p/4IMhK