1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtindo wa nguo kwa wasioona

26 Septemba 2024

Nukta nundu inawasaidia watu wenye ulemavu wa macho kuhisi na kufurahia urembo wa sanaa kwenye mitindo ya mavazi. Tukutane na mwanamitindo kutoka Kenya Angela Wanjiku tufahamu zaidi kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia

https://p.dw.com/p/4l7Kb