1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
TeknolojiaMarekani

Mtandao mpya wa kijamii wa Threads wajizolea umaarufu

Tatu Karema | Sylvia Mwehozi
19 Julai 2023

Katika siku tano za kwanza za uzinduzi wake, Threads ilipata watumiaji zaidi ya milioni 100. Wakati mtandao huo ukipakauliwa kwa kasi, Twitter imetangaza kupoteza karibu nusu ya mapato yake yatokanayo na matangazo tangu iliponunuliwa na Elon Musk. Sikiliza makala haya ya sema uvume kama anavyosimulia Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4U81d