Wakati dunia ikiadhimisha sikukuu ya Waislamu ya Eid al-Adha bado kumekuwa na mvutano ipi hasa siku mahususi kwa kufanikisha siku hii. Nini kifanyike na kwanini tofauti kama hizi zimeendelea kuwepo miongoni mwa Waislamu? zaidi itazame vidio ya Ahmed Juma wa Dar es Salaam.