1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msikiti unaotembea kutumika Olimpiki ya mjini Tokyo 2020

Sylvia Mwehozi
26 Julai 2018

kampuni moja ya Japan imezindua msikiti unaotembea ukitarajiwa kutumika katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020, mjini Tokyo. Una uwezo wa kubeba watu 50 na gharama yake kila mmoja ni yuro 770,000. Papo kwa Papo 26.07.2018.

https://p.dw.com/p/326mW