1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana wa miaka 13 anamiliki kiwanda cha sabuni

17 Machi 2023

Umri si kigezo cha uthubutu haya yanadhihirishwa na msichana mgogo aliyejifunza ujasiriamali na sasa amethubutu na hata kutegeneza bidhaa zake na kuziingiza sokoni na sasa amekuwa mfano wakuigwa na kuwa mwalimu kwa wenzake na kujifunza kujikwamua huyu ni Jasmin msichana wa miaka 13

https://p.dw.com/p/4OpRw