1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri Uwimana Jeannette wa Rwanda

8 Aprili 2022

Katika makala ya Msichana Jasiri utamsikia Jeannette Uwimana, msichana ambaye ni mlemavu wa kusikia na kuongea aliyeshinda tuzo ya Miss Innovation ama msichana mbunifu kwenye kinyang’anyiro cha Miss Rwanda cha kumsaka mlimbwende namba moja nchini humo kwa mwaka huu wa 2022.

https://p.dw.com/p/49gEE