1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msako wavifunga vituo vya afya 260 nchini Kenya

Wakio Mbogho11 Agosti 2023

Baraza la Madaktari na Wauguzi nchini Kenya limefunga hospitali na vituo vya afya 260 kwenye operesheni inayoendelea ya kukabiliana na matapeli wanaohudumu kwenye sekta ya afya nchini humo. Hali hii imewaacha na hofuwakaazi wengi wanaotegemea vituo hivi vya afya. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho.

https://p.dw.com/p/4V2VT