1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msajili wa Vyama vya Siasa afuatilia ufadhili wa kampeni

Amina Abubakar9 Oktoba 2015

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Francis Mutungi, anasema ofisi yake inafuatilia kwa makini gharama na ufadhili wa kampeni za vyama na wagombea wao kwenye uchaguzi wa hapo Oktoba 25, huku gharama kubwa zinazotumika kwenye kampeni hizo zikizua gumzo kwenye taifa hilo kubwa kabisa Afrika Mashariki. Msikilize kwenye mazungumzo haya na Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/1GlWl