1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa Makaa ya mawe na uchafuzi wa mazingira

Bernard Maranga29 Machi 2019

Kenya inataka kutekeleza mradi wa uchimbaji makaa ya mawe eneo la Kitui mashariki ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati wa mazingira wana wasiwasi kuwa mradi huo utaleta athari kubwa za mazingira katikA eneo hilo. Fuatana na Bernard Maranga kwenye makala ya mtu na mazingira.

https://p.dw.com/p/3FsWc