1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa Umoja wa Ulaya kuhusu wahamiaji waporomoka?

Iddi Ismail Ssessanga28 Septemba 2020

Mashirika ya haki za binadamu yameukosoa Umoja wa Ulaya kwa kutafuta kuziridhisha serikali zinazopinga uhamiaji, hasa kutoka mashariki, nalo kundi la viongozi wa mataifa ya mashariki limeyakataa mapendekezo ya halmashauri kuu ya Umoja huo. Wadadisi wanasema ni dhahiri kuwa mipango hiyo iliyosukwa kwa umakini mkubwa imeporomoka. Iddi Ssessanga na mengi kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3j6Ec